← Soma kwa Kiingereza / Read in English
AFYA YA MWANAMKE · DAKIKA 8 ZA KUSOMA

Tatizo la Kutokwa na Majimaji (Uchafu) Ukeni Pamoja na Kuwashwa

Mwanamke mwenye tabasamu akiwa ameshika kopo la Haiiba IG Gel, dawa ya mimea kutoka Herbal Impact kwa tatizo la kuwashwa na uchafu ukeni
READ IN ENGLISH

Kwa wanawake wenye umri wa kuzaa ni jambo la kawaida kutokwa na majimaji kikeni. Kwa kawaida tezi mbalimbali zilizopo katika shingo ya kizazi na katika kuta za uke huzalisha majimaji yasiyokuwa na rangi yoyote. Hata hivyo majimaji yanayotoka yanaweza kubadilika rangi na kuwa meupe au ya njano pale yanapogusana na hewa.

Majimaji ya Kawaida Ukeni na Mzunguko wa Hedhi

Kiasi cha majimaji kinachozalishwa kinabadilika kulingana na mzunguko wa hedhi wa kila mwezi. Hali hii inasababishwa na mabadiliko katika viwango vya homoni za uzazi ndani ya mwili vinavyobadilika kufuata mzunguko wa hedhi. Aidha mzunguko wa hedhi huamua tabia nyingine za majimaji hayo, mfano kiasi cha uzito wake na kiasi cha mnato wake.

Sababu zifuatazo zinaweza kusababisha kuongezeka kwa majimaji yanayotoka kikeni:

Dalili za Uchafu Usio wa Kawaida Ukeni

Majimaji yanayotoka kikeni yanaweza wakati mwingine kuambatana na hali ambazo siyo za kawaida. Hali hizi ni:

Kuwepo kwa hali hizi mara nyingi ni dalili ya kuwepo kwa tatizo la maambukizi, tatizo la mzio (allergy), na mara chache tatizo la saratani ndani ya mfumo wa uzazi.

Maambukizi au Saratani katika Mfumo wa Uzazi

Maambukizi mbalimbali katika mfumo wa uzazi, au saratani, vinaweza kusababisha kutokwa na majimaji kusiko kwa kawaida katika uke. Maambukizi husika ni pamoja na:

Sababu za Kihomoni na Mizio

Namna ya Kujisaidia

Hakikisha unasafisha uke wako na kuukausha vizuri, na iwapo una tatizo basi tafuta msaada wa kitaalamu. Kujisafisha tumia maji ya vuguvugu pekee na usitumie sabuni ya aina yoyote. Usijikaushe kwa kusugua, bali kwa kugusisha taulo kidogo kidogo hadi ukavu upatikane.

Aidha achana na matumizi ya manukato na vipodozi vingine kikeni. Kama una ugonjwa wa kisukari ni muhimu sana kuhakikisha kuwa sukari yako ya damu iko kwenye viwango vinavyotakiwa muda mwingi.

Ni muhimu pia kuhakikisha kuwa sehemu zako za siri zinapata hewa ya kutosha. Hii ina maana kuwa unahitaji kuvaa nguo za ndani ambazo hazibani, nguo za ndani zilizotengenezwa kwa pamba, na/au kutovaa chupi kabisa.

Wanawake wanapaswa pia kuwa makini na namna wanavyojisafisha baada ya kujisaidia. Matumizi ya maji ni bora kuliko matumizi ya karatasi, na usafi ufanyike kutokea mbele kwenda nyuma na siyo kinyume chake.

Kuondokana na Maambukizi Sugu

Baadhi ya watu (wanaume kwa wanawake) wamepata maambukizi ambayo ni sugu. Pamoja na kutembelea hospitali nyingi tofauti na kutumia dawa nyingi tofauti, changamoto walizonazo zimeshindikana kumalizika.

Kati ya hawa, wachache wamebahatika kuwasiliana nasi na kutuelezea matatizo yao. Tunasema wamebahatika kwa sababu matatizo yaliyowasumbua kwa muda mrefu yamemalizika ndani ya wiki tatu baada ya kutumia dawa yetu ya Haiiba IG Gel.

Sumbi: Miaka Miwili ya Kuhangaika

Sumbi (siyo jina lake halisi) ni mmoja wa watu hao. Kwa kauli yake mwenyewe, alimaliza hospitali zote kubwa bila kupata ufumbuzi wa tatizo lake lililodumu kwa zaidi ya miaka miwili.

Sumbi anasema alilazimika kumwacha mkewe baada ya kujikuta akikojoa usaha muda mwingi badala ya mkojo wa kawaida. Sumbi alitumia Haiiba IG Gel, na siku ya 14 alipiga simu akisema alikuwa akikojoa mkojo mweupe kuliko maji!

Farida: Mwasho Uliokaribia Kumtia Uchizi

Mtu mwingine mwenye hadithi ya kusisimua ni Farida (siyo jina lake halisi). Farida alipofika kwetu alidai kwamba mwasho aliokuwa anaupata ulikuwa unakaribia kumtia uchizi.

Alidai kwamba muda wote alikuwa analazimika kutembea na dawa kwenye begi lake, na kuwa kila alipojisaidia alilazimika kutia dawa hiyo ukeni, la sivyo angepata wakati mgumu sana. Alidai kwamba dawa zilizopo Tanzania zilikuwa zimeshindwa kabisa kumsaidia na sasa alikuwa analetewa dawa kutoka katika nchi moja jirani.

Farida alitumia Haiiba IG Gel na ndani ya siku chache aliripoti nafuu kubwa. Baada ya dozi kukamilika alisema kuwa alikuwa amepona kabisa, na alitoa shukrani nyingi sana.

Matokeo Mengine Yaliyoripotiwa na Watumiaji

Wapo watumiaji wengine wengi ambao wameripoti matokeo chanya kwa matatizo mengine waliyokuwa nayo nje ya haya tuliyoyataja.

Usisubiri: Maambukizi Sugu Yana Madhara

Kama una maambukizi ambayo ni sugu usisite kuwasiliana nasi. Ukiondoa kero kubwa unayoipata kutokana na hayo maambukizi, ni muhimu ukajua kuwa baadhi ya haya maambukizi yanaweza kuathiri hata uwezo wako wa kupata watoto, au kuathiri utimamu wa watoto wanaozaliwa. Aidha yanaweza pia kuharibu uhusiano na mwenza wako, iwapo maambukizi hayo yamefikia kiwango cha kushindwa kujamiiana.

Pata Haiiba IG Gel Sasa

Unataka kujua bidhaa zetu nyingine? Pakua bure Mwongozo wa Bidhaa na Huduma za Herbal Impact.

Onyo la kiafya: Makala hii ni kwa ajili ya taarifa za jumla za afya tu. Si ushauri wa kitabibu na hailengi kutambua, kutibu, kuponya au kuzuia ugonjwa wowote. Daima wasiliana na mtaalamu wa afya aliyehitimu kabla ya kuanza dawa au tiba yoyote mpya.

← Rudi kwenye makala zote / Back to all articles