← Soma kwa Kiingereza / Read in English
AFYA YA MMENG'ENYO WA CHAKULA · DAKIKA 4 ZA KUSOMA

Huenda Hujapatwa na Vidonda Halisi vya Tumbo — Umeungua na Tindikali!

Mtu akishikilia tumbo lake, mchoro wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ukionesha eneo linaloathiriwa na kuungua kwa tindikali
READ IN ENGLISH

Kuna watu ambao wanapata dalili zote za ugonjwa wa vidonda vya tumbo, lakini kiuhalisia tatizo walilokuwa nalo ni lingine kabisa. Hawa ni wale ambao wanapata majeraha ya kuungua kwa tindikali, kwenye maeneo ya utumbo mwembamba.

Kwa Nini Hili Hutokea

Hili linajitokeza kutokana na miili yao kuzidiwa na mzigo wa tindikali kutokana na lishe, msongo au harakati mbalimbali za kimaisha. Mzigo wa tindikali unapokuwa mkubwa mwilini, takriban vimiminika vyote mwilini (ukiondoa damu), hugeuka na kuwa na tabia ya tindikali.

Jinsi Mwili Unavyojilinda Kwa Kawaida

Vimiminika vinavyotoka katika kongosho na ini (nyongo na magadi soda), vinatakiwa viwe na tabia ya ualkali, kwa sababu huwa ndivyo vinavyotumika kuzimua na kuondoa mabaki ya tindikali kwenye chakula kilichosagwa tumboni, baada ya kuingia kwenye utumbo. Kama vimiminika hivi navyo vitakuwa vimebadilika na kuwa na tabia ya tindikali, basi vikimwagwa juu ya chakula kilichosagwa kutoka tumboni, vitaongeza tindikali juu ya tindikali.

Jinsi Vidonda Vinavyotengenezwa

Chakula kilichosagwa kutoka tumboni ambacho hakikuzimuliwa, kinapopita kwenye utumbo, huunguza tishu za utumbo na kutengeneza vidonda vya kuungua (acid burns).

Kwa Nini Dawa Pekee Haitoshi

Vidonda vinavyotokana na acid haviwezi kutibiwa kwa dawa. Tiba pekee ni kufanya marekebisho sahihi kwenye lishe. Miongoni mwa marekebisho muhimu ni kunywa kiasi cha kutosha cha maji kulingana na uzito wa mwili wa mhusika — inapendekezwa kwamba kila kilo 25 za uzito wa mwili japo zipate lita moja ya maji kwa siku.

Njia ya Haraka ya Kupata Nafuu

Kama njia ya haraka ya kuwasaidia wahanga wa tatizo hili kuondoa tindikali iliyozidi mwilini, HERBAL IMPACT imeandaa program maalum ambayo mhanga akiifuata ataweza kutatua tatizo lake ndani ya siku chache. Program hii tumeipa jina la "Program ya Kutibu Vidonda vya Tumbo Vinavyotokana na Tindikali" — ni seti ya maelekezo ya nini unatakiwa kufanya kuondoa mzigo wa tindikali mwilini na kujitibu majeraha yanayotokana na kuunguzwa na tindikali.

Kupata Program Hii

Program hii inapatikana kwa shilingi 45,000 tu. Mhitaji baada ya kuilipia atatumiwa bila kupoteza muda kwa njia ya WhatsApp au barua pepe, kutegemeana na chaguo lake. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu/WhatsApp 0754 281 131 au 0655 281 131.

Onyo la kiafya: Makala hii ni kwa ajili ya taarifa za jumla za afya tu. Si ushauri wa kitabibu na hailengi kutambua, kutibu, kuponya au kuzuia ugonjwa wowote. Daima wasiliana na mtaalamu wa afya aliyehitimu kabla ya kuanza dawa au tiba yoyote mpya.

← Rudi kwenye makala zote / Back to all articles