← Soma kwa Kiingereza / Read in English
KINGA YA MWILI · DAKIKA 3 ZA KUSOMA

Ili Kuimarisha Siha na Afya: Paisha Kinga Zako za Mwili

Machungwa, malimau, tangawizi, mboga za majani, korosho na matunda mekundu juu ya meza ya mbao, vyakula vinavyosaidia kinga ya mwili
READ IN ENGLISH

Tumezungukwa na vitu vingi vyenye uwezo wa kudhuru na kuathiri afya zetu.

Vitu hivi ni pamoja na vimelea mbalimbali vya maradhi kama vile bakteria, kuvu, virusi, minyoo, na kadhalika; na sumu mbalimbali kutoka kwenye lishe na mazingira.

Machungwa, malimau, tangawizi, mboga za majani, korosho na matunda mekundu
Lishe sahihi ni hatua ya kwanza ya kuimarisha kinga ya mwili. Picha: Snapwire / Pexels

Mfumo wa Kinga za Mwili

Muumba wetu ametujaalia ulinzi kupitia kile kinachoitwa mfumo wa kinga mwilini.

Bila huu mfumo huenda maisha yetu yangeishia muda mfupi tu baada ya kuzaliwa, au tusingezaliwa kabisa.

Ili tuendelee kuishi na kudumu katika hali ya siha na afya njema, tunapaswa kuchukua hatua za makusudi za kuuenzi huu mfumo na kuhakikisha kuwa siku zote unafanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.

Hatua za Kuchukua

Hatua za kuchukua ni pamoja na:

  1. Kula lishe sahihi;
  2. Kupata usingizi wa kutosha;
  3. Kukabiliana kikamilifu na msongo wa mawazo;
  4. Kuhakikisha kuwa mwili una maji ya kutosha kila wakati;
  5. Kupata mwanga wa jua wa kutosha kila siku;
  6. Kuushughulisha mwili kila siku na kila wakati (kutobweteka);
  7. Kuondosha sumu mwilini zinazotokana na uvunjifu na ujenzi wa kemikali ndani ya mwili, na zile zinazoingia mwilini kupitia chakula, vinywaji, na mwingiliano na mazingira; na
  8. Kuchukua hatua za kukarabati seli chakavu.

Haiiba Timam Tea

Moja ya njia bora sana za kuondosha sumu ndani ya mwili (detoxing) na kukarabati seli zilizochakaa ni matumizi ya chai ya ajabu inayoitwa Haiiba Timam Tea.

Chai hii ambayo imesheheni viini lishe vingi tofauti, ina uwezo mkubwa wa kuondosha sumu zinazolundikana kwenye ini na katika tishu nyingine mbalimbali za mwili.

Aidha, chai hii kupitia kuwa na mkusanyiko mkubwa wa vijenzi vya protini (amino acids) na kiasi kikubwa cha vizuia vioksidishaji (antioxidants), ina uwezo mkubwa sana wa kukarabati seli za mwili zilizoharibika.

Kuondoa sumu na kukarabati seli kunasaidia sana kuimarisha uwezo wa kinga za mwili.

Kudhihirisha uwezo wa Haiiba Timam Tea katika jukumu hili wako wagonjwa wa UKIMWI waliokuwa wamezidiwa na kulala kabisa lakini leo wanatembea, na wanaendelea na shughuli zao baada ya kutumia Haiiba Timam Tea kwa majuma machache.

Aidha, watumiaji wengi wanadai kuwa baada ya kuanza kutumia chai hii sasa hawaugui tena ugonjwa wa malaria, tofauti na ilivyokuwa huko nyuma.

Je, Ungependa Kuijaribu Chai Hii?

Tupigie/WhatsApp 0754 281 131 / 0655 281 131

AU

Tutembelee: mtaa wa Mosque, Kitumbini, Dar es Salaam (mkabala na msikiti wa Sunni).

Onyo la kiafya: Makala hii ni kwa ajili ya taarifa za jumla za afya tu. Si ushauri wa kitabibu na hailengi kutambua, kutibu, kuponya au kuzuia ugonjwa wowote. Daima wasiliana na mtaalamu wa afya aliyehitimu kabla ya kuanza dawa au tiba yoyote mpya.

← Rudi kwenye makala zote / Back to all articles